Eneo la marafa Kaunti ya Kilifi sasa limepata taswira mpya kufuatia ukarabati

  • | Citizen TV
    117 views

    Eneo la marafa Kaunti ya Kilifi sasa limepata taswira mpya baada ya serikali ya kaunti hiyo kuwekeza shilingi milioni 50 ili kubadilisha sura ya mji huo.