Enos Kales na Brenda Tuwei waibuka washindi katika mashindano ya riadha kilomita 10, Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    234 views

    Enos Kales kutoka kaunti ya Pokot Magharibi na Brenda Tuwei wa Elgeyo Marakwet waliibuka washindi katika mashindano ya riadha kilomita 10, yaliyotumiwa kuhamasisha umma kuhusu magonjwa yaliyosahaulika kaunti ya Pokot Magharibi