Ephantus Murage kutoka wangige ashinda Shabiki Mid-week Jackpot

  • | Citizen TV
    147 views

    Ephantus Murage kutoka Wangige kaunti ya Kiambu ameibuka mshindi wa shilingi 101,376 katika shindano la Shabiki Mid week Jackpot. Murage alishinda baada ya kubashiri mechi 12 kwa usahihi. Alisema kuwa atatumia pesa hizi kulipa karo. Kiasi kamili cha Jackpot ni shilingi milioni 3.6 iwapo utaweza kutabiri mechi zote 13 kwa usahihi. Ili Kuibuka mshindi wa Shabiki tembelea tovuti ya www.shabiki.com au tuma ujumbe mfupi kwa MJP kwa 29063. Unahitaji shilingi 49 pekee ili kucheza mchezo huu.