Epstein Files: Jinamizi alililolifuga Trump linavyogeuka kumtafuna

  • | BBC Swahili
    1,874 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kuandamwa na kashfa ya urafiki wake na Bilionea Jeffrey Epstein hata katika safari yake ya Uskochi (Scotland) – umbali mrefu kutoka nyumbani Marekani. Epstein alijiua August 2019 akiwa katika gereza moja jijini New York ambako alikuwa akishikiliwa kwa kashfa ya kufanya ngono na watoto. Trump amekuwa akitajwa kuwa rafiki wa karibu wa Epstein, lakini akiwa Scotland, rais huyo wa Marekani amesema alivunja urafiki wake na Epstein miaka mingi baada ya Epstein kuwa anamuibia wafanyakazi wake. #bbcswahili #marekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw