Equity Afia na Clive Foundation zaandaa kambi ya matibabu Nyamira

  • | Citizen TV
    91 views

    Hospitali ya Equity Afia kwa ushirikiano na Clive Foundation pamoja na Advanced Cancer Center wamepanga hafla za matibabu ya bure katika kaunti ndogo ya Manga eneo bunge la Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira.