Eseli Simiyu adai Wetangula acheza shere kwa kesi dhidi ya Ford Kenya

  • | West TV
    Katibu mkuu wa chama cha Ford Kenya Dkt Eseli Simiyu amejitokeza na kudai kuna mchezo fiche unaoendelea katika idara ya sheria hususan katika mahakama inayoshughulikia kesi ya mzozo katika chama cha Ford Kenya.