Eugene Wamalwa ameonya wabunge dhidi ya kuuidhinisha mswada wa Fedha wa mwaka 2024-2025

  • | NTV Video
    38 views

    Kiongozi wa DAP Kenya Eugene Wamalwa ameonya wabunge dhidi ya kuuidhinisha mswada wa Fedha wa mwaka 2024-2025 ulivyo, akisema utazidisha mzigo kwa mwananchi na kudumaza uchumi zaidi ya mwaka uliopita. Wamalwa alisema muungano wa Azimio unapinga baadhi ya kodi zinazopendekezwa kwa kuwa zitamkandamiza zaidi mwananchi hasa wa tabaka la chini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya