Eugene Wamalwa asutwa kwa matamshi ya kutaka kutoa mwelekeo wa kisiasa wa Magharibi

  • | West TV
    Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza na kumsuta waziri wa ugatuzi nchini Eugene Wamalwa kwa matamshi yake kuwa iwapo Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hawatatoa mwongozo wa kisiasa wa eneo la Magharibi yeye yuko tayari kutoa mwelekeo