- 120 viewsDuration: 55sDereva wa mashindano ya magari Evans Kavisi ameweka malengo ya kumaliza kwenye nafasi bora katika mashindano yajayo ya Pearl of Africa Rally yatakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 11 Mei nchini Uganda. Hii ni kufuatia juhudi zake bora katika mashindano ya WRC Safari Rally yaliyokamilika hivi karibuni.