Ezekiel Odero anahojiwa kuhusu tuhuma za mafunzo potofu

  • | Citizen TV
    17,064 views

    Maafisa wa upelelezi sasa wanamchunguza muhibiri mwingine katika kaunti ya Malindi kuhusiana na madai ya kutoa mafunzo potofu kwa waumini wake. Muhubiri Ezekiel Odero wa Kanisa la New Life Prayer Centre pia anachunguzwa kubaini uhusiano wake na muhubiri tata Paul Mackenzie