FAHAMU ATHARI YA COVID KWA WANAWAKE WAJAWAZITO

  • | VOA Swahili
    Leo katika Afya tunazungumzia utafiti mpya uliochapishwa na jarida la afya la Lancet umebaini kwamba watoto wanaozaliwa wakiwa wamekufa, vifo vya wajawazito na mimba ambazo zimetunga nje ya mfuko wa uzazi zimeongezeka wakati wa janga la virusi vya corona, pengine kwasababu wanawake wamepunguza fursa ya kwenda kupata huduma za afya. #VOA #DL