Fahamu mambo muhimu katika kombe la dunia la 2022

  • | BBC Swahili
    984 views
    Michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 itakuwa ya 22 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930. Michuano hii inayofanyika kila baada ya miaka minne, mwaka huu inafanyika Qatar, ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika katika nchi za kiarabu Mwanahabari wetu Paula Odek anatufahamisha mambo muhimu katika Kombe la Dunia ambalo litapigwa nchini Qatar. #bbcswahili #kombeladunia2022 #qatar