Fahamu pete maalum ya kuzuia Ukimwi inavyofanya kazi

  • | BBC Swahili
    524 views
    Ulimwengu unapoadhimisha siku ya Ukimwi Duniani Kenya inajivunia kuidhinisha matumizi ya pete maalum inayofahamika kama Dapivirine ring katika vituo sita vya afya Kaunti za Nairobi, Mombasa na Kisumu ili kuwapa wanawake na wasichana chaguo zaidi ya moja ya kupambana na Ukimwi. Lakini je, pete hii ni nini na inafanya kazi vipi? Mwandishi wa BBC Ambia Hirsi amezungumza na Caleb Owino mshauri wa kiufundi wa maswala ya Ukimwi. 🎥: Anne Okumu #bbcswahili #kenya #AIDS Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw