Familia 50 katika kaunti ya Machakos wavamiwa na genge lililoharibu nyumba zao

  • | Citizen TV
    4,937 views

    Zaidi ya familia 50 katika eneo la Mavoko kaunti ya Machakos zinaendelea kukesha kwenye baridi huku wakiishi kwa hofu kufuatia uvamizi wa genge ambalo lilivamia wakazi hao na kuharibu nyumba zao.