Familia huko Busia yadai haki baada ya mpendwa wao kupigwa risasi Kibwezi

  • | KBC Video
    38 views

    Familia moja katika kijiji cha Mundebu eneo la Nambale kaunti ya Busia, inalilia haki kufuatia kifo cha jamaa wao anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi huko Kibwezi kaunti ya Makueni wakati wa maandamano dhidi ya serikali Jumanne iliyopita. Dennis Lubanga mwenye umri wa miaka 36 anadaiwa kupigwa risasi wakati alipokuwa njiani kurejea nyumbani kutoka kazini. Na kama anavyoripoti John Kahiro, familia hiyo pia inaomba msaada wa kifedha kugharamia mazishi ya mwenda zake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive