Familia inayosafiri ulimwengu mzima kabla ya watoto wao kupoteza uwezo wa kuona

  • | BBC Swahili
    1,038 views
    'Nilijiambia sitawaonesha kwenye vitabu bali nitawapeleka kuona tembo wa uhalisia na twiga' Mama wa watoto wenye ugonjwa adimu wa kupofuka. - Familia inayosafiri ulimwengu mzima kabla ya watoto wao kupoteza uwezo wa kuona. Mataifa ambayo tayari wametembelea ni Tanzania,Namibia, Zambia,Uturuki, Mongolia na Indonesia. #bbcswahili #familia #ugonjwa #upofu #tanzania #namibia #zambia #uturuki