Familia kadhaa zahama kwao huko Budalangi kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    604 views

    Familia kadhaa katika wadi ya Bunyala kaskazini eneo bunge la Budalang'i kaunti ya Busia zimelazimika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko. Kituo cha polisi cha mudembi pia kimezingirwa na maji huku shule kadhaa zikiathirika pakubwa.