Familia kadhaa zawatafuta jamaa zao mtaani mradi

  • | Citizen TV
    5,545 views

    Familia kadhaa bado zinawatafuta wapendwa wao kufuatia mlipuko wa gesi uliotokea katika eneo la Embakasi jijini Nairobi usiku wa kuamkia leo .Tukio hilo pia limesababisha mamia ya watu kupoteza makao. Majengo ya biashara na magari pia yaliharibiwa na moto huo mkubwa