Familia kutoka Bidii Kitale inaomba usaidizi wa kurejesha mwanao Kenya kutoka Saudia

  • | West TV
    155 views
    Familia moja kutoka kijiji Pombo wadi ya Bidii kaunti ya Trans Nzoia inataka serikali kuingilia kati na kumrejesha mwanao alienda kazi Saudia kutokana na kuathirika kwa hali yake ya kiafya kufuatia mateso anayopitia.