Familia kutoka Furoi inaomba msaada wa matibabu ya figo huku shilingi milioni 3 ikitakiwa

  • | West TV
    363 views
    paybil 522522 AC/ 1182867774 Familia moja kutoka kijiji cha furoi wadi ya mihuu eneo bunge la webuye mashariki inatoa wito kwa wasamaria wema na viongozi kutoka eneo hilo na kaunti kwa jumla kuingilia kati na kuwasaidia kupata shilingi milioni tatu ili mpendwa wao henry karani apate matibabau ya changamoto ya figo nchini india