Familia kutoka Mumias Mashariki inadai kuchezewa shere kwa kujengewa nyumba hafifu na mhisani

  • | West TV
    107 views
    Familia moja katoka Kijiji cha Ingusi eneo bunge la Mumias Magharibi kaunti ya Kakamega inaishi kwa wasiwasi kwa kuhofia kuangukiwa na nyumba waliojengewa na mhisani wakihoji kuwa nyumba hiyo haikujengwa vizuri inaweza kuanguka wakati wowote.