Familia kutoka Vihiga inaomba msaada ya kusafirishi miili 5 ya wapendwa wake waliofariki Shakahola

  • | West TV
    117 views
    Huku serikali ikianza zoezi la kuzipa familia zilizopoteza jamaa zao katika msitu wa shakahola kaunti ya kilifi miili ya wapendwa wao, familia moja kutoka kijiji cha kisienya eneo bunge la vihiga inaomba msaada wa kutambua na kusafirisha miili ya jamaa zao watano wanaoaminika kufukuliwa kwenye msitu huo