Familia moja eneo la Loitoktok lamtafuta binti wao wa miaka 15 aliyepotea

  • | KBC Video
    14 views

    Huzuni umegubika familia moja katika eneo la Loitoktok, kaunti ndogo ya Kajiado Kusini, baada ya jitihada zao za kumtafuta binti yao aliyepotea wiki mbili zilizopita kukosa kufua dafu. Inasemekana Eunice Nthenya Maingi mwenye umri wa miaka 15, alipotea tarehe 8 mwezi januari, baada ya kuondoka nyumbani kwao Kiwanjani kuelekea kanisanai

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #missingperson #News