Familia moja eneo la Thika yaomba msaada wa Shs.9M kuwezesha mwana wao kupachikiwa ini nchini India

  • | KBC Video
    88 views

    Familia moja katika kijiji cha Ngoigwa ,eneo la Thika, kaunti ya Kiambu inatoa wito kwa wahisani kusaidia kuchanga shilingi milioni 9 kuwezesha mwana wao wa kike kupachikiwa ini nchini India. Kwa sasa, Ann Njeri amelazwa katika hospitali kuu ya Hamad nchini Qatar, alikoenda kutafuta kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #medicalappeal #kidneytransplant