Familia moja huko Kayole yatafuta haki kwa jamaa yao aliyeuawa kinyama na mpenzi wake

  • | Citizen TV
    662 views

    Familia moja huko Kayole inatafuta haki kwa jamaa yao aliyeuawa kinyama na mpenzi wake katika eneo hilo. Marehemu Sharon Cate alidungwa kisu mara kadhaa na mchumba wake aliyekuwa akiishi naye baada ya ugomvi wa nyumbani, mbele ya mwanawe wa miaka 11.