Familia moja inalilia haki baada ya mwana wao wa miaka 12 kunajisiwa kaunti ya Kericho

  • | K24 Video
    36 views

    Familia moja katika kijiji cha Kapkitony, eneo bunge la Belgut kaunti ya Kericho inalilia haki baada ya mwana wao wa miaka 12 kunajisiwa na kupachikwa mimba na mtu wanayedai ni mwanaume wa miaka sitini ambaye ni mzee wa nyumba kumi na bawabu katika kituo cha afya cha sanga kilichoko karibu na nyumbani kwao.