Familia moja jijini Mombasa yalilia haki baada ya jamaa wa kuhusishwa na tuhuma za ugaidi

  • | Citizen TV
    825 views

    Familia ya Mzee mwenye umri wa miaka 60 inalilia haki baada ya jamaa wao kuhusishwa na tuhuma za ugaidi kupitia mitandao ya kijamii.