Familia moja Kakamega yapigwa na butwaa baada ya mbinu ya kupanga uzazi kufeli

  • | Citizen TV
    4,085 views

    Familia moja kutoka Kijiji cha shikoti eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega imepigwa na butwaa baada ya mbinu waliotumia kupanga uzazi kufeli.