Skip to main content
Skip to main content

Familia moja Kikuyu yamtafuta mwana wao aliyeripotiwa kutoweka siku ya Jumatatu

  • | KBC Video
    165 views
    Duration: 1:27
    Familia moja katika eneo la Kikuyu inatoa wito wa usaidizi wa kuweza kumpata mwana wao wa miaka 13, Samson Mwenda, aliyetoweka mapema wiki hii. Kulingana na jamaa na majirani, Samson Mwenda alionekana mara ya mwisho kati ya saa mbili unusu na saa tatu asubuhi siku ya Jumatatu katika eneo la Muthama, kaunti ndogo ya Waithaka, kaunti ya Nairobi, karibu na nyumbani kwao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive