3 Mar 2026 1:33 pm | Citizen TV 272 views Duration: 2:09 Familia moja Kule eneo la Kwa Mwango kaunti ya Kilifi imesalia katika njia panda kutokana na mzozo mkali baina yao Na bwenyenye mmoja anayedai kumiliki ardhi ya ekari 12.