Familia moja Kiminini kaunti ya Trans-Nzoia inalilia haki baada ya jamaa yao kuuwawa na mbwa

  • | Citizen TV
    712 views

    Familia moja katika eneo la Bigtree, eneo bunge la Kiminini kaunti ya Trans-Nzoia inalilia haki baada ya mpendwa wao kuuwawa na mbwa wawili wa jirani alipokuwa akirejea nyumbani baada ya shughuli zake.