Skip to main content
Skip to main content

Familia moja Kisumu inaomba msaada ili mwanao ajiunge na gredi ya 10

  • | KBC Video
    239 views
    Duration: 3:17
    Familia moja katika kaunti ya Kisumu inatoa wito wa msaada wa kifedha kwa ajili ya mwanao anayetarajiwa kujiunga na gredi ya 10. Michael Odhiambo mwenye umri wa miaka 16 alipokea barua ya mwaliko wa kujiunga na shule ya upili ya Lions lakini hadi kufikia sasa hajajiunga na shule hiyo kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa ada za masomo, kumnunulia sare pamoja na kumkidhia mahitaji mengine. Wycliffe Oketch anatusimulia kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive