Familia moja Kitengela yaomba msaada wa Shs 2M kushughulikia bili ya hospitali ya baba yao

  • | KBC Video
    53 views

    Familia moja huko Kitengela katika kaunti ya Kajiado inatoa wito kwa wahisani kuwasaidia kuchangisha shilingi milioni 2 ili kushughulikia bili ya hospitali ya baba yao. Baba yao Charles Otunga, aligunduliwa kuwa na matatizo ya moyo mwaka uliopita. Otunga anaugua ugonjwa unaojulikana kama Aortic valve na analazimika kwenda kukaguliwa kila wiki hospitalini, hali ambayo imeathiri familia yake kiuchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive