Familia moja kutoka kaunti ya Kakamega yadai haki kwa mwanao aliyekatwa vidole vyake vyote

  • | Citizen TV
    917 views

    Familia moja kutoka Kijiji cha Bukhaywa eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega inadai haki baada ya mwanao wa kiume wa miaka mitatu kulazimika kukatwa vidole vyake vyote vya mkono wa kulia kufuatia kile kinachodaiwa kuwa utepetevu wa katika hospitali ya Mukumu.