Familia moja kutoka kaunti ya Nandi inaomba msaada kuleta mwili wa jamaa wao kutoka Saudi Arabia

  • | Citizen TV
    860 views

    Familia moja katika mtaa wa showground mjini Kapsabet kaunti ya Nandi imeomba serikali kujitokeza kuwasaidia kuusafirisha mwili wa mwanao wa miaka 41 aliyeaga dunia katika njia tatanishi nchini Saudi Arabia. Mwanamke huyo kwa jina Vailet Khayesi alisafiri kwenda saudia kutafuta ajira miaka 13 iliyopita.Familia imesema haina uwezo wa kuuleta mwili nyumbani .