- 1,112 viewsDuration: 3:02Familia moja kutoka Kisii imelazimika kuandaa hafla ya mazishi ya mpendwa wao, Cliff Ledden kijana aliyeangamia kule URUSI baada ya kusajiliwa kama mwanajeshi. Hafla hiyo iliyoshamiri majonzi ikilazimu familia hiyo kuwasha mishumaa tu juu ya "kaburi" bila mwili