- 591 viewsDuration: 2:09Familia moja kutoka eneo la Nyabohanse, Kuria Mashariki, Kaunti ya Migori, inadai haki ya mwana wao aliyeuawa kwa kudungwa Kisu. Kwa masikitiko makubwa, familia ya Brian Marwa wamedai kuwa tukio hilo linahusishwa kwa karibu na ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya, hali wanayosema imekuwa chanzo kikuu cha vurugu, vifo na maafa miongoni mwa vijana katika jamii.