Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu

  • | Citizen TV
    680 views

    Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu kuhusiana na jamaa yao, Abdinassir Khalif mwenye umri wa miaka 30, pamoja na marafiki zake wawili wanaodai walitekwa nyara na maafisa wa polisi wa akiba mwaka jana