23 Aug 2025 7:16 pm | Citizen TV 2,446 views Duration: 1:25 Familia moja mjini Garissa inatafuta majibu kuhusiana na jamaa yao, Abdinassir Khalif mwenye umri wa miaka 30, pamoja na marafiki zake wawili wanaodai walitekwa nyara na maafisa wa polisi wa akiba mwaka jana