Familia moja yaitaka serikali kuingilia kati ili kumrejesha mwana wao kutoka Sudia

  • | K24 Video
    149 views

    Familia moja kutoka kijiji cha pombo wadi ya bidii kaunti ya Trans Nzoia inaitaka serikali kuingilia kati ili kumrejesha mwana wao aliyeenda kufanya kazi saudia kutokana na kuathirika kwa hali yake ya kiafya kufuatia mateso anayopitia.