Familia moja yaomba msaada ili kuwezesha mpendwa wao kufanyiwa upasuaji wa ugonjwa 'Osteomyeliti'

  • | KBC Video
    35 views

    Familia moja katika kijiji cha Kiangunu katika kaunti ya Kiambu inatafuta msaada wa pesa ili kuwezesha mpendwa wao kufanyiwa upasuaji ili kutibu ugonjwa kwa jina Osteomyelitis. Jacinta Wanjiru Maina amesema kuwa anahitaji shilingi laki mbili unusu ili kufanikisha matibabu hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #medicalappeal #osteomyelitis