Familia moja yazozana na mmiliki wa ardhi Kasumarini

  • | Citizen TV
    130 views

    Familia moja eneo la Kasumarini, kaunti ya Kilifi inalilia haki baada ya bwenyenye mmoja kudaiwa kupanga kuwaondoa kwenye shamba lao.