Familia Morijo zimeendelea kupata makao mbadala

  • | Citizen TV
    747 views

    Familia kadhaa zilizokimbia makao yao eneo la Morijo, Samburu kaskazini kwa hofu ya usalama zimeendelea kupiga Kambi katika afisi ya Chifu wa Maralal mjini. Hii ni licha ya serikali kuwaondolea hofu na kuwataka kurejea kwao kwa hakikisho kuwa usalama umeimarishwa.