Skip to main content
Skip to main content

Familia na marafiki wataka uchunguzi rasmi kuanzishwa kuhusu wanaharakati waliotoweka Uganda

  • | Citizen TV
    5,905 views
    Duration: 3:10
    Wiki moja baada ya wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo kutekwa nyara jijini Kampala, Uganda, bado hawajulikani waliko. Familia ya Oyoo na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu leo walifika katika ofisi za tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadam kuandikisha taarifa kuhusiana na kutoweka kwa wakenya hao wawili . Familia zao zinataka tume hiyo kuanzisha uchunguzi rasmi ili warejeshwe salama