Familia na mfanyabiashara wazozana kuhusu umiliki wa shamba Transmara

  • | Citizen TV
    808 views

    Mzozo wa shamba la ekari 400 umeibuka katika eneo la Transmara Magharibi kati ya mfanyibiashara maarufu na familia moja eneo hilo. Wenyeji wa eneo hilo waliandamana kulalamikia hatua ya maafisa wa polisi kusimamia vijana kuvuna mahindi kwenye shamba hilo bila idhini ya mwenyewe.