Familia, ndugu, jamaa na marafiki wafika kwa ukumbusho wa mpendwa Dennis Jeff Khaemba

  • | K24 Video
    104 views

    Familia na marafiki wa marehemu Jeff Dennis Khaemba, aliyekuwa mzalishaji wa kipindi 'new dawn' katika runinga ya K24 walifika kwa misa ya ukumbusho katika kanisa la all saints cathedral hapa jijini Nairobi. Jeff Khaemba amesifiwa na kusherehekewa na marafiki , familia na waliokuwa wafanyikazi wenzake, waliomtaja kama mtu mchangamfu, mcheshi na aliyegusa maisha ya wengi.