Familia tano zinazoomboleza wapendwa wao baada ya Maandamano ya Jumatatu, Ngong

  • | Citizen TV
    2,741 views

    Familia tano maeneo ya Ngong na Kiserian ni miongoni mwa familia zinazoomboleza baada ya kuwapoteza wapendwa wao wakati wa maandamano ya Jumatatu. Watu watatu walifariki Ngong huku wawili wakifariki mjini Kiserian kwa kupigwa risasi na polisi.