Familia wa vijana 3 waliotekwa nyara Isiolo, washutumu maafisa wa usalama kutoweka jamaa zao

  • | NTV Video
    380 views

    Familia na marafiki wa vijana watatu waliotekwa nyara Jumamosi asubuhi katika kaunti wa Isiolo, wameshutumu maafisa wa usalama kwa kutoweka kwa jamaa zao, na kutaka mateka hao kuachiliwa mara moja au kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka yoyote ambayo yanayoweza kuwa dhidi yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya