Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Abdi Aidid yamtafuta Eastleigh baada ya kudaiwa kutekwa nyara Shauri Moyo

  • | Citizen TV
    1,958 views
    Duration: 2:34
    Familia moja mtaani Eastleigh inamtafuta jamaa yao anayedaiwa kutekwa nyara jumamosi iliyopita na hadi sasa hajulikani aliko. Inaarifiwa kuwa abdi aidid ali alitekwa nyara eneo la shauri moyo na watu waliokuwa wamebeba bunduki wakiwa kwenye magari mawili makubwa. Familia sasa ikisema haijapata usaidizi wa kutosha kutoka kwa polisi.