- 8,312 viewsDuration: 3:33Mwaka Moja tangu kifo cha mwana blogu Albert Ojwang ukikaribia, familia yake bado inasubiri haki huku ikiomba serikali kuhakikisha haki ya Albert imepatikana. Familia hiyo iliandaa hafla maalum ya kumchumbia Albert mkewe kama ishara ya heshima na kuendeleza ukoo wake. James Latano alitembelea familia hiyo na kutuandalia Taarifa ifuatayo.